Tayta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 310
- 576
Maisha ya humu ni raha sana mzee wangu mm nina nina miliki penthouse yangu ww unamiliki nn mzee wangu![]()
Mimi ninamiliki kibanda tu
Maisha ya humu ni raha sana mzee wangu mm nina nina miliki penthouse yangu ww unamiliki nn mzee wangu![]()
Sio ukweli uhalisia uwepo kidogo zisiwe kama zile movie za kihindi unapaa paaa kama unamabawa![]()
James Cameron usimzungumzie kabisa muweke pembeni maana akitoa hizo Avatar 2 na 3 dunia itasimama.
Marahaba hujambo mdogo wangudada khantwe shikamoo![]()
Marvel ni Team unajua lakini James ni mtu mmoja.Ndiyo ila anakimbizana na Marvel mkuu
watu wapo busy sana 