Tatizo ni mitazamo tofauti bila kujali maslahi mapana ya nchi na bara letu la Africa.Huu ugomvi sijui utaisha lini kati ya sisi majirani. Naona tunafanya mambo ya kukumoana
Nakubaliana nawe 100%. Pale nchi inapoongozwa na sera za kiongozi binafsi bila kufuata sera za taifa katika maswala mapana ya mahusiano ya kimataifa.Tatizo ni mitazamo tofauti bila kujali maslahi mapana ya nchi na bara letu la Africa.
Tupo huru lakini hatuna uhuru
Hakuna usingizi mtamu kama wa saa 12 asubuhi na ule unaokupata ukiwa kaziniNjoo tupige kazi
Zetu tumefungia kabatini tunatumia za kuambiwa tuuNakubaliana nawe 100%. Pale nchi inapoongozwa na sera za kiongozi binafsi bila kufuata sera za taifa katika maswala mapana ya mahusiano ya kimataifa.
Sijui kwenye mikutano ya jumuia na majirani zetu huwa tunadiscuss nini haswa kama mambo ambayo yanatugusa moja kwa moja hatuelewani
0230
Muda mzuri wa kuongea na Mungu [emoji120]
Umeyakumbuka au unataka kwa ajili ya dawa..?Wapi naweza kupata mahindi ya kupika makande usiku huu nipike?
Mpare kakumbuka chakula cha asili hahahaaWapi naweza kupata mahindi ya kupika makande usiku huu nipike?
Happy new month to you too12:02
Saturday, Aug 1
Happy new month walinzi.
More blessings upon y'all
On a huyu mchaga sasa amejua kutumia simuMpare kakumbuka chakula cha asili hahahaa
Hahahaha yamaonyesho! Nyie wachaga msinizingueUmeyakumbuka au unataka kwa ajili ya dawa..?
List yangu utaichoka aisee nitaikupa siku mojaHumu kuna mpenzi wa anime/manga? Na genre zingine ukiacha sci-fi za marvel, maana nimezimaliza zote mcu, xmen, spiderman zote, fantastic four, ghost rider, punisher, na zingine kibao...
Teremsheni hapa top ten zenu za all time best movies mlizoona.
Naisubiri kwa hamu, ngoja nitulie niandike top ten zanguList yangu utaichoka aisee nitaikupa siku moja
Hahahaha yamaonyesho! Nyie wachaga msinizingue