Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Eti Saint Anne unapenda hizo? [emoji4] size kwani siunamuliza ukiwa dukani alafu unachukua.Tunanunua mzee and we are ok with it, sema huwa tunasahau size so ni vzr uwe naye wakati ukinunua na akuonyeshe anazopendelea
Saint Anne wangu anapendelea hizi
Google Image Result for https://lookaside.fbsbx.com/lookaside/crawler/media/?media_id=697927147221028
Inawezekana pia lkn mimi huwa napenda tununue tukiwa woteEti Saint Anne unapenda hizo? [emoji4] size kwani siunamuliza ukiwa dukani alafu unachukua.
Akafie kuleeeeeeh mxieeeeew zake huyu, khaaaaaaah hata akipewa teuzi but hali halis kaiona.kwani kakufanya nn Paul ww [emoji23][emoji23][emoji23] kuna jambo alifanya likakukwaza ndio maana unamchukia.
Kitu kizuri kama unawanunulia visodo hawa watu [emoji109]Inawezekana pia lkn mimi huwa napenda tununue tukiwa wote
Paulo ni baba wa familia jamani msilisahau hilo...ana wakwe na mashemeji so far! Akipata sonona kwa kuchambwa huku dhambi zenu wenyeweAkafie kuleeeeeeh mxieeeeew zake huyu, khaaaaaaah hata akipewa teuzi but hali halis kaiona.
Unasemaje hali halisi wakati ndio mara yake ya kwanza kugombea ubunge! Angeweza kupata kura nyingi na kushinda kabisa kwenye majimbo mengine.Akafie kuleeeeeeh mxieeeeew zake huyu, khaaaaaaah hata akipewa teuzi but hali halis kaiona.
Kwa mpenz kidogo inawezekana japokuwa sijawah kumnunulia.....maana kwenda dukan kuulizia hiyo mizigonacho ni kipengeleMpenzi ulishawahi mnunulia au ndio mpaka ufikilie?
Mbona mapema sana captainGood night lads.
Huyo hakuna anakopendwa, hata yeye analijua hiloooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajumbe leo wamejua kunifurahisha khaaaaaah.Unasemaje hali halisi wakati ndio mara yake ya kwanza kugombea ubunge! Angeweza kupata kura nyingi na kushinda kabisa kwenye majimbo mengine.
Inaonekana unamchukia huyo makonda sana .na kwa namna yoyote inaonekana ww ndo unateseka zaid kuliko yeye ndo maana unasubir mabaya kama haya yampate ili ufurahi .so jambo lolote zuri likimtokea wewe utateseka.Huyo hakuna anakopendwa, hata yeye analijua hiloooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajumbe leo wamejua kunifurahisha khaaaaaah.
Thubutuuuuuuui asubiri viti maalumu, ila kwa kigamboni ni Big Nooh, hata mkuu mwenyewe alimchoka ila baas tyuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana unamchukia huyo makonda sana .na kwa namna yoyote inaonekana ww ndo unateseka zaid kuliko yeye ndo maana unasubir mabaya kama haya yampate ili ufurahi .so jambo lolote zuri likimtokea wewe utateseka.
Mara paaap!!!!jina lake linakuja yeye ndo mgombea aliyeteuliwa
Kwan ww ni assistant wa mkuu???Thubutuuuuuuui asubiri viti maalumu, ila kwa kigamboni ni Big Nooh, hata mkuu mwenyewe alimchoka ila baas tyuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yawezekanaaaah aaaah
Huku nitokako sijawahi sijui huko niendako. Maana huwezi jua what will happenLeo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunulia [emoji23][emoji23] Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam [emoji109]
Akili za usiku [emoji17] maswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××
Ni nani kaibuka kidedea?Piga kelele kwa wana kigamboni, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
NdungulileNi nani kaibuka kidedea?
Kumbe uteuzi wa leo sio hitimisho?Hadi muda huu n Ndungulile, tunasubiri uteuz wa ngaz za juu kutoa hitimisho