tupo Mkuu Leo nimepoteza rafiki na mshauri RIP. Usingizi Hauji Kabisa gia zote zimegoma nimeamua kuja kulinda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] piga puliTukutane hapa walio kosa usingizi muda huu mimi nimenyimwa Game yani nimekosa usingizi kabisa.
Puli na mikono yangu ni ya zege nitashindwa kikitupa asee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] piga puli
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji848][emoji848][emoji196][emoji196][emoji196]Tukutane hapa walio kosa usingizi muda huu mimi nimenyimwa Game yani nimekosa usingizi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jana hukupewa? Leo ni alhamisi
Mkuu na wewe umekosa usingizi au unatengeneza dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Mkuu mimi niko kilingeni Msata muda huu nazichangaMkuu na wewe umekosa usingizi au unatengeneza dawa
Hey habari za lindo mamii...3:40