Waende huko wakakutane na uchawi wa kizungu wakafanywe misukule huko Ulaya na America? 😂😂Sasa hapo si ni uonevu tu usio wa lazima. Halafu wanatutesa sisi maskini wenzao. Kwa nini wasitumie hivyo vipaji kusafiri hadi world bank na kukomba dolla za kutosha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ila we ndio umeanzisha😂😂Mimi sijasema hayo. Usininukuu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama ana uwezo wa kuingilia kwenye kuta, kwa nini asiende kupenya kuta za bank?Waende huko wakakutane na uchawi wa kizungu wakafanywe misukule huko Ulaya na America? [emoji23][emoji23]
Uchawi una mipaka mkuu, hawa watabaki kitamba hapa hapa Africa. Wangekuwa na uwezo wakupenya BoT hata Mimi ningejifunza ili nikabebe hata mabox mawili tu ya midola[emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usinilishe maneno mdomoniHahaha ila we ndio umeanzisha[emoji23][emoji23]
MI nduki.....
Mi nilidhani tumpumzishe au tumpungizie majukumu maana anahiyaji kunyonya na kubembelezwa bembelezwa[emoji23][emoji23][emoji23] huyu muhuni Super Villain au kuna mwingine? Kama ni huyo sherehe ni kumpa zamu ya kulinda wiki nzima kuanzia saa 6 usiku hadi muda wa kufunga lindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we unadhani mpaka inaitwa bank ikawekwa strong room mule ndani bure bure tu?Hivi kama ana uwezo wa kuingilia kwenye kuta, kwa nini asiende kupenya kuta za bank?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Super Villain zawadi yake atakayoifurahia ni kulinda wiki nzima mfululizo. Kumbuka yatima hadeki hata kama kazaliwa leo. Hapa kazi tu [emoji23][emoji23]Mi nilidhani tumpumzishe au tumpungizie majukumu maana anahiyaji kunyonya na kubembelezwa bembelezwa
Kuna nini mkuu. Hebu nidadavulie kidogo.Mkuu we unadhani mpaka inaitwa bank ikawekwa strong room mule ndani bure bure tu?
Nasikia kafara huwa zinahusika
Happiest bday to kijana mstaarabu😀 Super Villain Mungu akujalie maisha mema yenye baraka tele.Tulia wewe ..
eti madam Lenie pitia kipande hiki umuwish Super Villain birthday njema [emoji4][emoji4]
Hili dongoSo wataka kuniambia kipindi kile walikuwa active kwasababu walikuwa wanavizia daku? í ½í¸í ½í¸
Kumbe ww snitch [emoji23][emoji23][emoji23]. Asee sikuamini tena[emoji23][emoji23][emoji23] Sikutokea watu walitokea wakaandamana kisha wakapewa suspension ya miezi miwili nilipewa lawama acha tu [emoji17]
Mkuu unataka kunichonganisha sasa😂😂🏃🏃🏃🏃🏃Hili dongo
Hapana mkuuMkuu unataka kunichonganisha sasaí ½í¸í ½í¸í ¼í¿í ¼í¿í ¼í¿í ¼í¿í ¼í¿
Hapo sawa, wacha nipumzike maana zamu ya Jana ilikuwa nzito sana😊Hapana mkuu
Saint Anne lala mtot mzr0000