Ni-come***Weusi🎧🎧Mje kufunga mageti huku
Muda bado, siai wengine kwanza tunaingia mzigoni muda huu.Mje kufunga mageti huku
Uliliacha waziGates closed
Tupo Mkuu Leo nimepoteza rafiki na mshauri RIP. Usingizi Hauji Kabisa gia zote zimegoma nimeamua kuja kulindaLeo lindo liko pweke..
Polee sana mkuu..tupo Mkuu Leo nimepoteza rafiki na mshauri RIP. Usingizi Hauji Kabisa gia zote zimegoma nimeamua kuja kulinda
Pole sana mkuu...tupo Mkuu Leo nimepoteza rafiki na mshauri RIP. Usingizi Hauji Kabisa gia zote zimegoma nimeamua kuja kulinda