financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,199
- 43,594
Thank you rafiki, huwa unalala saa ngapi sasa? Hili jukwaa hata alfajiri ,manane unakuta watu duhOkay Mkuu
Kuna yale ya kuvua madem Nguo [emoji23]Yeah Lokoo [emoji38] Afsa wa zamu akija kwa mda ake atapiga
We are doing Good here, Tunapishanaga tu humu leo nimeona nikupe hi [emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kupata mkopo ndugu?Thank you rafiki, huwa unalala saa ngapi sasa? Hili jukwaa hata alfajiri ,manane unakuta watu duh
Shikamoo dada Goddess.Tusizeeshane bwana
Lockdown....ndugu yangu.lGud tu ujalala mpaka saiz kesho naona hauna ratiba ya church [emoji17]
Kwa sasa hilo ni jina tu mkuu, sitoi hizo huduma za mikopo, ni plan ya baadaye huko.
Maombi ya nyumbani nyumbani tu saiz kwahiyo?Lockdown....ndugu yangu.l
Mpwa umeiona nimelipa kwa dollars[emoji2][emoji2][emoji2] mpwa nakutimia sasa hivi pm
Naona umeamua kunikatalia kiaina ndugu,, daah,, hata 1000 tuuKwa sasa hilo ni jina tu mkuu, sitoi hizo huduma za mikopo, ni plan ya baadaye huko.
TunuShikamoo dada Goddess.
Mmmh maybe hukunipata vizuri [emoji848]G sini class tu ambayo almost kila kampuni wanayo
Ndio Wagon MkuuYupo sahihi ni wagon hiyo
Hahaa, buku hiyo ntakupa tu for free, ila mkopo ni biashara ile,so nisingeweza kukutalia kama ningekua naifanya kweli😀
I know kua BRABUS ipo kama HAMANN MotorsportMmmh maybe hukunipata vizuri [emoji848]
BRABUS ni Company ya ku'tune' Magari kuremba remba kuweka udambwi udambwi iwe tofaut na ilivyo toka kiwandani original
Kampuni hiz ziko nyingi ONYX, OVERFINCH nk zote ni after Market Company Lkn zimabase sehem tofauti BRABUS Sana Sana Gar Za Mercedes Benz
Gari ulio i'quote' ni Normal G63 Wagon sio Brabus, Brabus ni ile nyeus yenye Logo ya B Mbele Badara ya Logo ya Mercedes Benz Ndio Wagon Mkuu View attachment 1452258
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2],, asantee Sana,, angalia Prime Minister...Hahaa, buku hiyo ntakupa tu for free, ila mkopo ni biashara ile,so nisingeweza kukutalia kama ningekua naifanya kweli[emoji3]
Niko poa kabisa,hofu kwakoSafi, uko poa wewe?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Tunu embu kuwa serious naona hujaupenda mzigo wangu.Tunu
Ule mzigo bdo haujaisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Prime minister tena😀, niambie tu hapa hapa[emoji2][emoji2][emoji2],, asantee Sana,, angalia Prime Minister...
Sent using Jamii Forums mobile app
acha nijisogeze lindoni taraaaatibuNiko poa kabisa,hofu kwako
Sijui kwanini hatuelewani [emoji848][emoji38][emoji38][emoji38]I know kua BRABUS ipo kama HAMANN Motorsport
Mm nilikua naongelea G class cars znafanana like ,bentley, mahindra n.k
Nenda kaone hapaBrabus/ G wagon
I'm good. Ok Subiria detail yako saa nane, kama ukiwa hujachoka tutayajenga ukitoka lindo [emoji87][emoji87]Niko poa kabisa,hofu kwako