JamiiForums Usiku wa manane

Aise[emoji28]

Sent using [emoji106]
 
Ni pombe ya Zambia kama sio Malawi ina umaarufu wake pia.
Kama unafuatilia bongo fleva wameitaja kwenye nyimbo ya "Nikagongee"

Sent using [emoji106]
Hivi unajua pombe kali nyingi zinakausha maji? Kama mwili wako uko vizuri na ubongo unarespond haraka lazima utasikia kiu baada ya kunywa kinywaji chochote kikali
Am talking by experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…