Ndio vizuri mkuu week nzima nipo macho kama natafuta dawa maabara ya wuhanKwa package hiyo mkuu usishangae usipopata usingizi wiki zima..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usinifurahishe saiz usiku wote huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue.[emoji849]sio kiivyo mm nakwambia mtu akikuona we mjinga
Basi jifanye mpumbavu kabisa
Ishu ni ileile skutaka mpa za uso
Vybe inakuwa ipo juu mapema sekunde tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila si nmesema ukweli
Yule mwamba anakubalika sana aisee, sisi ambao sio watumiaji wa hizo mambo ni wazi tunakosa baadhi ya vitu vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nazani ningeamia kwenye ngumu kumeza kwa mkubwa asiyeshusha mikono. [emoji17]
Ukitoka upo very smart mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Asante sana nikiingia humo nitadata kabisa maana hapa penyewe sijapata lakini nishadata teyari.
mm mwenyewe mbona ni kama ww tu lakini mm napenda ile ice cream milk coffee ya azam kushinda ukwaju.Yule mwamba anakubalika sana aisee, sisi ambao sio watumiaji wa hizo mambo ni wazi tunakosa baadhi ya vitu vizuri.
Yaani mtu una stress, unaagiza azam ukwaju...unakunywa badala ya stress kushuka, zinaongezeka. Unaishia kukipiga teke na kachupa kenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀 😀 😀 😀Ndio vizuri mkuu week nzima nipo macho kama natafuta dawa maabara ya wuhan
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa na wenge tu mzee wangu.
Vp tufanye ibada ya mvua [emoji4]1:19
Aise.Ngoja nikufuatie na dawa Madagascar kabisa uwe wakala unisaidie kusambaza tuwe millionaire.
Vp hommie niaje?Aise.
Sent using [emoji106]
Kama kawa, Mambo yanasonga?Vp hommie niaje?
Safi mzee, sio lazima kuwa mwanachama wa kila kitu.mm mwenyewe mbona ni kama ww tu lakini mm napenda ile ice cream milk coffee ya azam kushinda ukwaju.
[emoji23][emoji23] Kwani juzi hukuona rainbow ww
Mkuu ndio vizuri upunguze stress za maisha ,life like transformer, up and downNitakuwa na wenge tu mzee wangu.
Gud Gud vp samaki hapo [emoji23]Kama kawa, Mambo yanasonga?
Sent using [emoji106]