bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Wanasemaga eti kila anayeguswa na mapenzi huwa mshairi.Sijui niliiokota wapi hii point/pumba hata sikumbuki.Owa s'andame hadaa, moyo ukahadaiwa Owa anaye kufaa, mke mwenye kusifiwa
Si watu wa pwani twafagilia sana mambo hizi kama ndo mapenzi basi si habaWanasemaga eti kila anayeguswa na mapenzi huwa mshairi.Sijui niliiokota wapi hii point/pumba hata sikumbuki.
Nifafanulie kidogo huo ujumbe wako
Sent using Jamii Forums mobile app
dah kweli mkuu,imenitokea leoUkiona ikifika kuanzia saa 8 usingizi unakata, ujue Mungu anakuamsha ufanye ibada.
Hao ndio hunichanganyaga kabisa aisee yaani unakuta hana shida anaamshwa anakula anapiga stori mbili tatu anaenda zake kulala tena dk20 unakuta tayari anakoroma dahKuna watu anaweza lala ukimuamsha akala akimaliza analala tena.
Kuna mtu alichonifanyia kaninyima usingizi kabisa akili inawaza tu alichonifanyia leo ila poa tu [emoji17]Super Villain mdogo wetu lala
Mlinzi mwenzangu hebu tuongee kiutu uzima,vp kuna shida mahali nikusaidie??Sihadawe na ujana na ujana una mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlinzi mwenzangu hebu tuongee kiutu uzima,vp kuna shida mahali nikusaidie??
Walinzi tunasaidiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah we nae jauKuna mtu alichonifanyia kaninyima usingizi kabisa akili inawaza tu alichonifanyia leo ila poa tu [emoji17]
shida ipo wanna help?!Mlinzi mwenzangu hebu tuongee kiutu uzima,vp kuna shida mahali nikusaidie??
Walinzi tunasaidiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unacheka mkuu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu havielezeki acha nikaushe tu [emoji41]Ah we nae jau
Kila siku una sababu halafu ukute ni mambo ya hali ya chini tu
Relax men
Acha nifurahi tu mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona unacheka mkuu??
Walinzi kusaidiana usiku wa lindo mrefu sana ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] si unaona ni mambo ya hali ya chiniAcha tu havielezeki acha nikaushe tu [emoji41]