Hizo Twitter sijui Instagram nazisikia tu. I'm very old fashioned guy [emoji3][emoji3]. Najiona mambo yamekuwa mengi kuliko muda so I have to contribute myself.
Polemimi mzima nilipitiwa na usingizi
Kiukweli a very best friend of mine ambaye najua hawezi nisaliti ni music. Hata niwe na kazi ngumu namna gani music ndio unanisidia kupata some ideas na kazi ikawa nyepesiHapana ni sawa kuwa hivyo , na haupo old fashioned kisa hicho .
Kama mimi sina kazi kutwa nipo online na ni mbaya .
Sent using Jamii Forums mobile app
Muziki kweli unasaidia mnoKiukweli a very best friend of mine ambaye najua hawezi nisaliti ni music. Hata niwe na kazi ngumu namna gani music ndio unanisidia kupata some ideas na kazi ikawa nyepesi
Kwako pia[emoji4]
Hahahaha ila watarudiana
Dah itakua tunatofautiana timezoneKama wewe tuu. Hapa utaamka,utalala utaacha watu wanakodoa tuu
Hujaenda kanisani leo ?Hahahaha ila watarudiana
Hapana, nimesikiliza online tu hapa ibada imefanyika usharika wa Songosongo ndio imeisha sasaHujaenda kanisani leo ?
duh mkuu ndo unafika SAA hizi au haukuwa zamu???Hope mmekesha salamaaa....
Vizuri uwe na siku njemaHapana, nimesikiliza online tu hapa ibada imefanyika usharika wa Songosongo ndio imeisha sasa
Ayo wimbo wangu pendwa wa muda wote..nimetoka kuusikiza muda si mrefuFrank edwards ft chee - here to sing
Called out music - my prayer
Whitney houston - i look to you
Whitney - i didnt know my own strength
Simi - Ayo....
Huwa napenda kuskiiza sometimes
Asante sana na kwako pia. Uende ibadani na sadaka ubebe
Sawa MkuuAsante sana na kwako pia. Uende ibadani na sadaka ubebe