Anhaa sijawahi kumsikiliza maana hata hizo series sijaziangalia kivileee.
[emoji15]
Huwezi amini nimeangalia lakini kwa kuruka ruka sanaaa. Tena nilifanya hivyo kwasababu watu wa nyumbani walikuwa wanaipenda sana.
Yeah Mkuu wapo. Am not among themWapo wengi tu ambao kuchat na mtu wa jinsia yake anaona ni kupoteza muda..
Don't underestimate the human brain.....
Newton aliwahi sema baadhi ya concepts kwenye physics kuhusu sumaku na mawimbi ya nje ya dunia (Outer Space) miaka hiyo lakini miaka kama minne sasa wamethibitisha ni kweli alichokisema zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Ndio mida yako hiiTulia mzee..kwanza kichwa kishaanza kudai godoro
View attachment 1429576Huwezi amini nimeangalia lakini kwa kuruka ruka sanaaa. Tena nilifanya hivyo kwasababu watu wa nyumbani walikuwa wanaipenda sana.
Ndio mida yako hii
Kuna watu hua wanakoti ke tu..[emoji23][emoji23]Yeah Mkuu wapo. Am not among them
95% ya watu wanaonizunguka ni men wenzangu kwa Phone Contanct wanawake hawazidi 8 [emoji3][emoji3]
Ooohky, Kama ni Possible Spiritually. Ni more mental time traveling inao fanyikaKuna wanaofanya mental time travelling..Au physical time travelling.
Ila wengi husema time travelling ni possible spiritually
Ushahidi ni Dejavu
Sent using Jamii Forums mobile app
weekend hii kama nakuona kwenye mabalaa yako.Yeap yeap..naingia chimbo dakika moja then nalala
Yeah Mkuu wapo. Am not among them
95% ya watu wanaonizunguka ni men wenzangu kwa Phone Contanct wanawake hawazidi 8 [emoji3][emoji3]
weekend hii kama nakuona kwenye mabalaa yako.
Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.Ila kweli akili ya binaadamu ni infinity (?) Sitaki kuamini ni fikra za watu ndio zimefanya mm nawe twawasiliana hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi utoe maelezo yakina kwanza [emoji23]Ahh wapi mzee leo kuna kitu nilikimiss.. bhasi iliniharibia mood tu jioni
De javu ni hali ya kua sehem fulani ukawa unahisi hayo maeneo ushawahi fika na kila kitu unachofanya au kuongea unaona kinajirudia..Ooohky, Kama ni Possible Spiritually. Ni more mental time traveling inao fanyika
I don't know dejavu, what is that ?
Impressive [emoji15]Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.
Mimi namfahamu mtanzania aliyekuwa na uwezo wa kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja. Uwezo wake ulikuwa siyo wa kawaida darasani. Lakini waliondoka naye mapemaaa sanaaa wakapeleka nje na sijawahi sikia tena kuhusu yule jamaa tangu tuko sekondari hadi leo.
[emoji23][emoji23]
sikumaanisha kwa ubaya..usije anza kujidefend .. nilichomaanisha ni kuwa unaweza kujifunza au kupata kitu kutoka kwa mtu yoyote unaemuona
Contacts zangu sijawahi hata count asilimia ila possibly zipo hata 60 kwa 40
Hapo ndipo hua naamini kweli bijaadamu ana uungu ndani yake (kutokana na pumzi ya uhai toka kwa Mungu) ila tumetofautisna Karama..Ndio maana napingana na wanaosema Time travelling ni impossible.Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.
Mimi namfahamu mtanzania aliyekuwa na uwezo wa kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja. Uwezo wake ulikuwa siyo wa kawaida darasani. Lakini waliondoka naye mapemaaa sanaaa wakapeleka nje na sijawahi sikia tena kuhusu yule jamaa tangu tuko sekondari hadi leo.
Itabidi utoe maelezo yakina kwanza [emoji23]