MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,888
Manipulation of Reality kama Inavyofanya Reality Stone. Kiufupi yeye ni cosmic entity tofauti na mutants wengine....Kwa jinsi nilivyomuona Jean mmh..sidhani. walimpa nguvu nyingi hadi inaboa..
Ability za huyo franklin ni zipi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Marvel (MCU?) Ipo chini ya genius CEO Kevin feige..Mambo yote stan kayaacha yakiwa published. Ukumbuke movie zote ulizoona za stan stori zake katunga miaka ya 40s..Muda utaongea mzee kama Stan hakuwa tegemezi Marvel.
Hivi watunzi wa haya mambo hua wanajitungia tu au kuna motive behind. Maana sidhani kama nikipaji tu cha kutunga..Manipulation of Reality kama Inavyofanya Reality Stone. Kiufupi yeye ni cosmic entity tofauti na mutants wengine....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haita saidia hiyo nauwezo wa kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli kama mawakili wanavyofanya mahakamani vile.
Nawapata hawa jamaaa. Kama umewapenda hawa basi unaweza kumsikiliza hata Luciano Pavarotti....Aisee mkuu Ahsante sana umenipa vitu nipendavyo. Yaani ngoja nipakue nyimbo zao zote..
Sikiliza hawa..hope unawajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ngoma ngumu hamna mwanamke Leo [emoji846][emoji846][emoji846]
Aisee..Nawapata hawa jamaaa. Kama umewapenda hawa basi unaweza kumsikiliza hata Luciano Pavarotti....
ππππππππππππππHivi watunzi wa haya mambo hua wanajitungia tu au kuna motive behind. Maana sidhani kama nikipaji tu cha kutunga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naikubali sana hii ngoma...Ewaaa shukrani mkuu
Nawapata hawa jamaaa. Kama umewapenda hawa basi unaweza kumsikiliza hata Luciano Pavarotti....
[emoji38][emoji38][emoji38]kukaa nae LindoniUnataka kumfanyia nini
[emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji3][emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji1]
Hili sifahamu braza lakini nachofahamu comics za Marvel na DC zilitengenezwa na watu ambao walikiwa ni marafiki kwa nyakati tofauti hivyo wameigana sana. Characters wengi sana wametolewa kwenye Greek, Norse, Egyptian, Irish and Germany forklore.
[emoji23][emoji23][emoji23] Acha uwoga ww.Hujawahi kutana na skendo za jf bro.. kwanza views zinatembea faster sana hata kama ni asubuhi weekdays af hata ujitetee vipi kuna raia kuwashawishi ni ngumu
Italian and German music are sophisticated.Aisee..
Kama namsikiliza Wolfgang Mozart..
Watu wamejaliwa sauti asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatarious sanaaa hili lizeeeee.Luciano