Manzese kama Manzese sijawahi fika. Kariakoo kwenyewe ukinizungusha kidogo unaniachamo huko.ππππ
Hujawahi hata ingia kwa soko kusaka vitambaa na vijora
Huko kwa Tumbo huko we acha tu, mapenzi ya Facebook [emoji23][emoji23][emoji23] na Tabata shule nako hovyo kule
Ila pic hapo kama Magomeni Usalama ikitokea Ubungo,kama Kanisani ukitokea Mbagala Usitusumbue
Hahaha inapendezaNi kweli mkuu hasa ukiwa na kiblanketi chapa mtu chako
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kwani ww unajua mwendokasi inaishia wapi?Mwendokasi unaishia Magomeni. Emu kuwa muelewa
Huwezi kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Staki kukuharibia leo mood [emoji38][emoji38]
Acha kunipanga [emoji1787][emoji1787][emoji14]Mwendokasi unaishia Magomeni. Emu kuwa muelewa
Captain upo leoPooooooooooopoZ!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hujawah kula nauli Wewe?Manzese kama Manzese sijawahi fika. Kariakoo kwenyewe ukinizungusha kidogo unaniachamo huko.
Baba akianza sasa "mnafanya nini mjini kama jiji hamlijui hapo kuna siku nilimuuliza Kigogo iko wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Nikaona isiwe kesi ngoja nitafute mkoa nizamie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umemkataa kwahiyoAcha kunipanga [emoji1787][emoji1787][emoji14]
Morocco na Kimara ndio vtuo vya mwsho kutoka Kkoo
Sasa hupajui Tabata we Dar unapajua wapi? Yule mtandale nilienda mpaka kwako. Mama ake akapika ugali samakiWachaweee Mlifikia wapi na M'tandale wako ??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Tabata shule sipajui [emoji26]
Kwenye kituo cha BRT Magomeni usalama pembeni Kun jengo la Kuubwa ghorofa sijui utumishi limeandikwa Mbona mbagala mbali Sana na hapo kanisani[emoji1787][emoji1787]
NdioHii nyimbo ?
Nauli ya wapi?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hujawah kula nauli Wewe?
Hivi ni wewe au nani alisema kwa Tumbo hakuna mwendokasi?Kwani ww unajua mwendokasi inaishia wapi?
[emoji38][emoji38][emoji38]Ya kwenda Au ya kutoka kwa m'tandale wako? Hujawa kuila eeeh (joke)Nauli ya wapi?
Mimi nipo kwa TumboAcha kunipanga [emoji1787][emoji1787][emoji14]
Morocco na Kimara ndio vtuo vya mwsho kutoka Kkoo
Ni zamani sana hata mwendokasi haupo. Nikajifunza kuzila nauli zao na sio kuwafata π[emoji38][emoji38][emoji38]Ya kwenda Au ya kutoka kwa m'tandale wako? Hujawa kuila eeeh (joke)
Sikiliza Magomeni ipo kati ujue ukitokea Kinondoni kwenda Gerezani , Kimara na kivukoni na Magomeni kubwa sawa kanisani nikama unaenda Kinondoni mkwaju kutokea Magomeni kanisani na mwanamboka mpaka morroco huko.Hivi ni wewe au nani alisema kwa Tumbo hakuna mwendokasi?
Jibu ni ndiyo. Na mwendokasi cheap wa kufika kwa Tumbo ni ule wa Magomeni kanisani