Nakubaliana na hii kauli. Coz happiness is almost differ significantly from one another. For example what you perceive as happiness to you could not be happiness on my side.Mahatma Gandhi once said, “Happiness is when what you think, what you say, and what you do are in harmony.”
Sent using Jamii Forums mobile app
If you're feeling lonely, don't... You're the only one I'll ever want na wajua hilo..Umesubiri Covid-19 ikukumbushe?
Mimi sijakumiss....labda nijifunze🙃🙃🙃
Hapana usihisi hivyo
Hakika nibaki hivi hivi [emoji38][emoji38][emoji38]
Ntu Wang labda hajajiunga bado Jamii forum
Exactly , happiness varies from one person to anotherNakubaliana na hii kauli. Coz happiness is almost differ significantly from one another. For example what you perceive as happiness to you could not be happiness on my side.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ulikuwa kikosi gani na OP ipi?Mujibi Mzeebaba zilikua Sio poa kozi ilikua ya moto, Vipi Wewe umepita boss?
Ukiona umekumbuka ulichoota jua ulikuwa unakaribia kupata fahamuHakuna binaadamu anayekumbuka ndoto zote alizoota usiku. Hua tunakumbuka zile tunazoota tukikaribia kuamka.
Ndio kuwa optimisticKweli eeeh ! [emoji29][emoji29] ntaforce kubadiri feeling
Huwa naogopa nikisikia ameota ndoto ya kutisha maana hiyo inatokea .Hongera zake. Ila kuna ndoto niliiota nikiwa seco hiyo ndoto ni babkubwa sijui ilikuaje nikaiota
Leo umemaliza maneno yote....Sorry for love you little more than I should
If you're feeling lonely, don't... You're the only one I'll ever want na wajua hilo..
I only want to make it good out of Covid-19
Njoo home tujikarantini pamoja[emoji8][emoji8]
832kj yani RuvuUlikuwa kikosi gani na OP ipi?
Kabisa. Mathalani nikiota lazima kuna jambo flani litatokea. Ndio maana sipendi kuota ila ni kwa vile huja automatically tuNdio kabisa..na zile ndoto ukiota kisha ukashtuka hua unazikumbuka
Mwaka gani then nitakutajia op ulivyokuwa. Yaonekana ulienda kwa kulazimishwa as it was majibu wa sheria and you never liked anything about being there haha832kj yani Ruvu
Operation sikumbuki kweli Sijui Muungano ile I don't know
Ndio kuwa optimistic
Usinitese makusudikali sweetheart😚😚Leo umemaliza maneno yote....
Acha na mimi nikupe siku 3 za kufunga na kusali....ndio nitoe jibu. J5 usiku tukutane hapa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Whats happiness then [emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu..[emoji38][emoji38]
Nina kasumba kutojibiwa Meseji humu jf
Au kisa me sio famous [emoji124][emoji124]
Kuwa na matumainiAhaa Inabidi unipe lectures how to become Optimistic [emoji4]
Nikilala kila movement sauti itakayokua karibu yangu basi hua naisikia.
(Hasa ukitaja jina langu)
Sasa kuna jamaa alikua form 4 mm niko form 2 alikua anakuja tunasoma. Siku moja kaja kunigongea saa4 usiku nimelala nikamfungulie aingie tusome.. Nikamsikia nikawa naamka nikafungue Usingizi ukanipitia tena moja kwa moja sijaenda kufungua.
Cha ajabu nikaota kua nilienda kumfungulia akaingia tukasoma kuna kisehem alikua ananifundisha kipya. After 2 hour tukaenda kulala. Sasa asubuhi naamka nijaandae kwenda shule namuangalia mwenzangu niliyelala nae simuoni kitandani. Ndio nikajua yote usiku nilikua naota.
Keaho yake jamaa akaniambia kua aliniita nikaitika ila sikumfungulia Why? Ikabidi nijieleze!!! Cha ajabu kile nilichofundishwa kipya Kwenye ndoto nikabaki nacho kichwani nakielewa!!!
Hii situation sijawahi kuielewa
Something that you perceive can make you happy. Could be permanent or temporary happinessWhats happiness then [emoji22][emoji22][emoji22]