JamiiForums Usiku wa manane

Sema waluguru wezi sana walikuwa wanaiba nguo zetu kipindi tunasoma.

Ukiacha nguo nje huikuti,wazee wa kazi walishapita nayo kitambo.
 
Af first time nilidhani moro sio waswahili. Picha likaanza nkafikia msamvu shule.. ile mitaa hadi masika ni uswazi na laana tupu.. nilichoka mzee [emoji23]
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ukuingia mji mpya ww?
 
Mimi napenda kutembea sehemu tofauti
Na kweli ni misimamo

Sent using Jamii Forums mobile app
Truthfully ilikuwa sio first time kufika moro na mikumi nilikuwa nshapita mara nyingi...
nimekaa kusini pia zaidi ya 3 years kwa hiyo hata ile excitement nilikuwa sina kama wenzangu..

Na usisahau na damu yangu ya kipare ilihusika zaidi[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ooh inawezakana ikawa sababu hiyo
Mimi nilienda mara tatu ila bado nipo hyper vile vile
Hahaha eti damu ya kipare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…