I love a verse fromHata sijali kabisa kuhusu korona..
Kifo ji hatima, kama imewadia huwezi kwepa kama haijawadia Mungu atanipigania. Namuamini!
Ni ngumu ila nashukuru kwa kufaulu ule mtihani.. Kiuhalisia sikupaswa kupata kutokana na muda ila ndio hvo nikapata.Mambo ya wafilistine huko mara unapigwa kwakina Daudi huku mara unapigwa wafalme, hesabu ujakaa sawa unakutana na wakina mtume Barnaba na Paulo acha tu.
Ntakukana kama Petro
[emoji23][emoji23] Elia alikuwa hataki vita kabisa sema ni moja ya manabii ambao huwa nawaoneaga gere sana alipaa tu akamuacha Elisha akizubaa [emoji22]Sema wale Jamaa hawakua na utani Kabisa. Akisema utakufa utakufa kweli. Dah
Acha kusoma mwanzo kabisa ukiweza maliza yote 72 mpaka ufunuo huko itapendeza sana.Nishapotea eeehh???
Wallah hunipendi, njaa yote hii na baridi halafu ninywe maji?? Wewe ni nanihii? Au alikwambia kuwa Elli akinywa inabidi any we maji? Hebu njoo inboxUshauri wa bure...usisahau kunywa maji Ilai
Aisee ulijitahidi sana lakini.Ni ngumu ila nashukuru kwa kufaulu ule mtihani.. Kiuhalisia sikupaswa kupata kutokana na muda ila ndio hvo nikapata.
Kutangulia sio kufika..with tremendous ambition nothing impossible
Wangeishi miaka hii huenda hata Uzi wetu huu usingekuepo[emoji23][emoji23] Elia alikuwa hataki vita kabisa sema ni moja ya manabii ambao huwa nawaoneaga gere sana alipaa tu akamuacha Elisha akizubaa [emoji22]
Katekisimu ya maandishi mekundu na meusi maswali na majibuNahisi wangeifanya tuipate ukubwani...tunakuwa tumekomaa...maana mimi nilimeza katekisimu kipindi kile...kwa sasa sikumbuki mengi
Only curiosity Ilinifanya nikafanikiwaAisee ulijitahidi sana lakini.
Bwana atakupigania, nawe utasimama kimya!!! Aaghh amenI love a verse from
Exodus 14 :14
The Lord shall fight for you, and ye shall hold your peace.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda huu..I love a verse from
Exodus 14 :14
The Lord shall fight for you, and ye shall hold your peace.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] Kabisa ungekuepo kufanya nn saiz hapa tungekuwa tunakula ngano kwa wingi na zabibu saiz mambo ya wine hayo.Wangeishi miaka hii huenda hata Uzi wetu huu usingekuepo
AminaNapenda huu..
Zaburi : 18
2 BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu,Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia,Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Ndio njia huwa unaitumia siku zote kujifunzia au ilikuwa ni kwa wakati ule tu?Only curiosity Ilinifanya nikafanikiwa
Miaka yote mkuuNdio njia huwa unaitumia siku zote kujifunzia au ilikuwa ni kwa wakati ule tu?
Amina mkuu ado..
Na kuoa Masuria wetu tu yaani saa hizi mtu unakua na Masuria kama mia na "mazahausi" hana Nouma[emoji16] Kabisa ungekuepo kufanya nn saiz hapa tungekuwa tunakula ngano kwa wingi na zabibu saiz mambo ya wine hayo.