JamiiForums Usiku wa manane

dah yaan sia usingizi hata naweza fika hata saa 12 hapa lakini acha nikautafute usingizi kitandani sasa maana itabidi hata nijiurumie kidogo maana this is too much Depal
 
🀣 🀣 🀣 🀣 ukija dar au kama unashost yako muagizie tu kwakwenu huko chukua dozen kabisa iliusipate tabu.
Haupo kitandani usiku huu upo wapi? Au umekaa jikoni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸƒπŸƒ
Dozen niweke ndani? Kwani nafanya biashara
 
dah yaan sia usingizi hata naweza fika hata saa 12 hapa lakini acha nikautafute usingizi kitandani sasa maana itabidi hata nijiurumie kidogo maana this is too much Depal
Kunywa Lions Hill.....utasinzia chap, ni wine hiyo.
Au amka ukafue kabisa then urudi kuutafuta
 
Haupo kitandani usiku huu upo wapi? Au umekaa jikoni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸƒπŸƒ
Dozen niweke ndani? Kwani nafanya biashara
jikoni nifuate nn saiz 🀣🀣🀣 nipo kwenye coach tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…