Huku kuna mvua kwa mbali, radi kwa wingi na mwanga mkali una mulika mulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa
Hamna boss. Majukumu ya hapa na pale. Si unajua tena kutafuta mkate wa kila siku.Mtt wakizungu anakukeep busy sana siku hizi.
Leo navirudisha rasmi, njoo nikukabidhiRudisha vifaa vyetu vya ulinzi๐๐
Usingizi unaniandama sana siku hizi๐ดShida nn bestie?!
Asante mlinzi mwenzangu!
Napasha na wushu hapa!