Aiseh ningekusaidia kujigeuza geuza kama ungekuwa Ke.. kukosa usingiz kutapunguza urembo wako ...Hapana najaribu kuwa productive, kama usingizi sina basi angalau najua nikisoma soma nagain kitu na nikichoka kusoma najua pia siwezi kulala so hata nikifua nitakua nimefanya jambo la maana kuliko kuingia bed alafu najigeuza geuza mpaka saa moja bila kulala.
Umesoma ulichokiandika lakini?Aiseh ningekusaidia kujigeuza geuza kama ungekuwa Ke.. kukosa usingiz kutapunguza urembo wako ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko lindo,uko wapiWakuu mpo salama?
04:31
Powa sana. Wewe je?Uko poa we mwanamke?
Wewe ndio huyo kny avatar?
Umesoma ulichokiandika lakini?
Nmeandika tu utasoma wewe, unataka nieleweke ulinisomesha?Umesoma ulichokiandika lakini?
Mkuu hilo jiwe umenitupia direct, ngoja nilale akili zije.Akili za usiku hizi.
πππππ zitakua zimeshakauka sasaNampango ikifika saa kumi nifue kabisa mpaka sa 12 ππ
Mimi nilikua nawaza, hawa waandishi wa tunavyovisoma walianzaje kuandika? Mbona Mimi naona kabisa naweza kuwa mwandishi but how do I start? Hicho ndio kilininyima usingizi but slept later hahahaHapana najaribu kuwa productive, kama usingizi sina basi angalau najua nikisoma soma nagain kitu na nikichoka kusoma najua pia siwezi kulala so hata nikifua nitakua nimefanya jambo la maana kuliko kuingia bed alafu najigeuza geuza mpaka saa moja bila kulala.
Wewe umekuja asubuhi kabisa
Bado bana hali ya hewa leo mawingu shazi mpaka nakosa ya kuvaa kwenda misele.πππππ zitakua zimeshakauka sasa
soma tena ulichoandika, nincompoop.