JamiiForums Usiku wa manane

Umeniambukiza kuchangamka [emoji23][emoji23][emoji23]. Itabidi unijibie tuhuma, kwa nini umenifundisha tabia mbaya
Tabia mbaya unazijua ww [emoji23][emoji23][emoji23]? Alafu unanisingizia usiku wote huu mm ndio nimekufundisha!.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mipasho hutaki na zile wanazovaa dera kule kwenu TMK zinapigwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] nikisema sizijui ntakuwa muongo maana casettes zilikuwa kibao. Na kuna zingine zinaskiizwa kila mara hadi unaikariri vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…