Bahati mbaya sina ninachokijua mkuu. Jukumu langu ni kula na kuosha vyombo [emoji23][emoji23][emoji23]Nipo dar saiz njoo na ww unipe maujuzi ya huko misandwich hiyo nk..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mida hii ya wanga, watoto wazuri wote wamelala. Now wanaota huku wanatabasamu kama vitoto vichanga.[emoji23][emoji23][emoji23] nilikuelewa kitambo sana tu toka post ya kwanza ulivyosema huku huwezi kupost.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamida wake! Hamida wa wote saiz kuna kitu cha pekeyako hapa bongo.
I seeeHamida wake! Hamida wa wote saiz kuna kitu cha pekeyako hapa bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa na silaha mkononi..
[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo viombo unaosha au unatupa sitake away hivyo vyombo?Bahati mbaya sina ninachokijua mkuu. Jukumu langu ni kula na kuosha vyombo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] vitoto vichanga tena hapo utakuwa umewatukana ujue maana vitoto vichanga vinalala na diaper.Na mida hii ya wanga, watoto wazuri wote wamelala. Now wanaota huku wanatabasamu kama vitoto vichanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha vya huko bongo. Huku ukimaliza ni kwenye dust bin.[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo viombo unaosha au unatupa sitake away hivyo vyombo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wachanga ushaona jinsi wakiwa usingizini? Wanazidi kuwa wazuri hasa vile wakitabasamu mara kwa mara[emoji23][emoji23][emoji23] vitoto vichanga tena hapo utakuwa umewatukana ujue maana vitoto vichanga vinalala na diaper.
Sent using Jamii Forums mobile app
basi Kwenu kama kwetu tu huo utaratibu ss hadi deki tunakiwasha mzee.
Noma sana.basi Kwenu kama kwetu tu huo utaratibu ss hadi deki tunakiwasha mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sheria ilikuwa haki sawa wtt kufanya kazi zote hakuna sijui hii yakike hii ya kiume mm mabro zangu wote wanajua kupika kuna time mom hayupo wao ndio wanasababisha jikoni.
Ni muhimu sana kujua baadhi ya majukumu. Nakumbuka tulikuwa tunaambiwa wenzenu wanapika na kupakuwa mahotelini huko itakuwa ninyi. Huwa sisahau hiyo sentence.Hiyo sheria ilikuwa haki sawa wtt kufanya kazi zote hakuna sijui hii yakike hii ya kiume mm mabro zangu wote wanajua kupika kuna time mom hayupo wao ndio wanasababisha jikoni.
Sent using Jamii Forums mobile app