Ila sasa hivi ukitafakari kwa kina utaona kama vile mitekenyo na ming'ato ya nzi inahusika pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetoa warning [emoji615] kabisa.Hahah VIEWER DISCRETION IS ADVISED.
PLZ DON'T TRY THIS AT HOME.
dodge
Hahah nitaichek mkuu maana wale machizi(Will&Martin) najua wanajua kazi yao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta ukiwa unajisikia ovyo jaribu kuangalia utakuja kuniadisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa muhimu sana mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetoa warning [emoji615] kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gendagenda
Same to you dude.A guy is Da'Vinci of JF and I'm going to Sleep. Wish you good night
Na kwako pia mkuu.A guy is Da'Vinci of JF and I'm going to Sleep. Wish you good night
Nimesikia mkuu, inasikitisha sana. Hiyo yote ni umaskini, ukosefu wa elimu pamoja na kukata tamaa. Watu sasa wameweka matumaini yao kwa wahubiri kwa kudhani kuna muujiza utatokea. Too sad indeed.Kweli mkuu,sometimes changamoto hizo zinawafanya watu wahisi mpk wamerogwa/wana mikosi.
Si umesikia huko Moshi wamekufa watu 18 usiku wa leo wakigombania mafuta ya upako kanisani.
dodge
Kweli mzee. Namiss sana bongo sometimes. Ila nikikumbuka changamoto zake, napotezea. Afadhali huku nipo busy kiaina na life linasonga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah.Hahah kama kuna majini mahaba ya kike huko chooni basi yatakua yalikua yanawafaidi kichizi.
dodge
Sasa bamia inaendana sana na hizo nyanya chungu mkuu.Hii kitu utotoni nilikua naila mbichi kabisa,ila huku uzeeni daah nimeshashindwa kuila iwe imepikwa/mbichi.
Ila bamia yenyewe mzuka sana.
dodge
100% ukweli mtupu mkuu,ila kufa kufaana mkuu hii inshu ya Moshi imeshazima soo la Makonda tayari.Nimesikia mkuu, inasikitisha sana. Hiyo yote ni umaskini, ukosefu wa elimu pamoja na kukata tamaa. Watu sasa wameweka matumaini yao kwa wahubiri kwa kudhani kuna muujiza utatokea. Too sad indeed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mto tulikuwa tunaoga juu, jamaa wapo busy kufanya mashindano ya nani atawahi kucheuwa, halafu zile zinakwenda na maji huko chini wanaogaga mademu. Unaweza kuta kuna waliokuwa wanapata ujauzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah kama kuna majini mahaba ya kike huko chooni basi yatakua yalikua yanawafaidi kichizi.
dodge
Bongo watakufelisha tu wakijua umetoka mbele basi matatizo yao utabeba ww tu.Kweli mzee. Namiss sana bongo sometimes. Ila nikikumbuka changamoto zake, napotezea. Afadhali huku nipo busy kiaina na life linasonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuwaje bored sasa. Sometimes huwa namiss sana zile moments za shule na wana.[emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa kijiweni hata uwena upweke vp masihala na midhaha ya kijinga haikosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah that's too bad.Kuna mto tulikuwa tunaoga juu, jamaa wapo busy kufanya mashindano ya nani atawahi kucheuwa, halafu zile zinakwenda na maji huko chini wanaogaga mademu. Unaweza kuta kuna waliokuwa wanapata ujauzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app