JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nahisi napenda vitu vingi generally af vitu ambavyo sio common kwa watu wengi mkuu.. nishazoea hilo swali "hobby yako ni ipi"
mm football kuangalia napenda lakini kucheza naogopa kuumia ni rahisi mno lakini basketball (bball) ndio napenda sana kucheza na enjoy zaidi.
 
mm football kuangalia napenda lakini kucheza naogopa kuumia ni rahisi mno lakini basketball (bball) ndio napenda sana kucheza na enjoy zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha uoga.. mpira nilicheza nilipokuwa mdogo (unajua mambo za changanyikeni),
basket nna idea nayo maana mabro zangu wawili ndio ulikuwa mchezo wao so, weekend mjiandae kwa crew zao kuja kucheki cd's zao.. wanaiba maujanja, mabrazamen watupu .swaggz za bball
 
Back
Top Bottom