JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] acha uoga.. mpira nilicheza nilipokuwa mdogo (unajua mambo za changanyikeni),
basket nna idea nayo maana mabro zangu wawili ndio ulikuwa mchezo wao so, weekend mjiandae kwa crew zao kuja kucheki cd's zao.. wanaiba maujanja, mabrazamen watupu .swaggz za bball
Sio lazima uwebishoo ndio ucheze bball bhana.
 
Niamini bro.. kwa nilioyaona na kusimuliwa. Jf sio sehemu cool na huwa yanalipuka watu wakizinguana. Wengine wanakimbia ID's au kufungua ID's mpya za kuchafuana. Drama nyingi af siziwezi
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hujui wananchi gani wa kuroll nao na wengine sio humu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bball ndio ni mchezo wa black Americans na ulianzishwa kwenye zile movements za ukombozi wa watu weusi kule maandishi matatu (USA)
Ndo maana twitter waliwakandia kuwa mnaocheza bball mnajiona black Americans.. wanyamwezi [emoji23][emoji23][emoji23] ..kumbe na ww muhusika
 
Ndo maana twitter waliwakandia kuwa mnaocheza bball mnajiona black Americans.. wanyamwezi [emoji23][emoji23][emoji23] ..kumbe na ww muhusika
[emoji23][emoji23][emoji23] hao ni watu wenye wivu tu hawawezi kusumbua sema bball nilienda umiseta mara ya kwanza watu wananyuka vitu uwanjani hapo unyamwezi sana pendeza lakini jua kucheza ukipodoa watu watakubeza sana.
 
Kitambo sana kama hukucheza umiseta ww utakuwa upo mbali na michezo maana pale ndio kilikuwa kipimo tosha cha uwezo wako.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku mamanzi A'level walikuwa wanadiscuss jinsi nitakavyoleta hamasa katika team kama ikitokea nimevaa bukta kwa ground .. walitaka kuona miguu yangu inafananaje [emoji23][emoji23]
 
Kwa wapenzi wa kikapu hz ni habari mby sana kuzisikia RIP Kobe Bryant
Screenshot_2020-01-27-01-26-47.jpeg
 
Back
Top Bottom