Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Umeingia na chupa ya pombe mkononi.
Umeingia na chupa ya pombe mkononi.
Kanye east, kanye west au kanye central ukipigwa naku assistKanye West - Follow God [emoji445]
Mwenye dhambi sirudi nyuma, nafanya naloona niko sahihi bila kuhofia kubuma/Mbilia Bell _ Nadina
Hata wenye dhambi rudisha moyo nyuma, tumsifu Mungu baba eeeh eeh..hata mara moja kwa juma🔊🔊🔊
Umeingia na chupa ya pombe mkononi.
Ewe mwenye dhambi rudisha moyo nyuma Siku ya mwisho ikifika ndio utajuaMwenye dhambi sirudi nyuma, nafanya naloona niko sahihi bila kuhofia kubuma/
Siku ya mwisho ikifika sitajua, kwasabu ntakua vumbini nimefukiwaEwe mwenye dhambi rudisha moyo nyuma Siku ya mwisho ikifika ndio utajua
Ila ww utakua umezidiKweli nakwambia na kuhangaika ndio sifa yetu na tuna sifa nyingine ya ziada ya kuwa na pupa.
Sawa, basi ndio nimekupa nafasi na nina omba ulisikilize ombi langu, la kwamba naomba utulize pupa zangu.Ila ww utakua umezidi
Rungu unalo sasa?
Rowin mke wangu wa tatu njoo nakusubiri.
Yaan ngoma ina verses 2 tu dah flow ya unyama sana hii ngoma [emoji91]Kanye east, kanye west au kanye central ukipigwa naku assist
Daah, samahani nimesahau, mke wa pili, barafu wa moyo wangu.Yalaaaa
Huyo wa pili mbona simjui
Daah, samahani nimesahau, mke wa pili, barafu wa moyo wangu.
Tukalale.Kwa kheri