Nisiwe mnafiki kutoa Wasabato na Walutheri. Waliobaki gospel zao sipendiMimi siku nkipandwa na mizuka ya gospel huwa sichagui so long as zinasound fresh na ujumbe mzuri.. walokole wana nyimbo za kuabudu pia ni nzuri, same kwa wasabato na dhehebu nyinginezo
Mungu ajalie tuu nia ipoKumbe ni ka pekee. Fanya uongeze kengine [emoji4][emoji4]
Hujapata time ya kuzisikiliza.. mimi ni mkatholiki pori pia ila nazijua nyimbo zao.kuna za kusifu af kuna za kuabudu. Unazoziongelea ni za kusifu bro ila za kuabudu huwa ni slows kabisaaNisiwe mnafiki kutoa Wasabato na Walutheri. Waliobaki gospel zao sipendi
Fujo sana
Mungu atajaalia usijali and msalimu pia japo nimetoa ushauri wa kutishia kufaidi kwakeMungu ajalie tuu nia ipo
Yupi huyo? [emoji23][emoji23][emoji23]Waungwana yule mlimbwende akija lindoni mnistue kama kawaida.
Nimefanya nini mimi [emoji44]Ila chiqutitta basi tu,wewe mtoto, daah, yaani daah, basi tu.
Unautesa sana mtima wangu.Nimefanya nini mimi [emoji44]
No hapana muda tatizo siku hizi na vifurushi vimepanda[emoji23][emoji23][emoji23]Naruhusiwa kuongeza orodha?
😂😂😂 So zipo iron man pekee.?No hapana muda tatizo siku hizi na vifurushi vimepanda[emoji23][emoji23][emoji23]
Unahangaika tu na wwUnautesa sana mtima wangu.
Ww taja tu pakuzipata najua ongeza orodha nmekumbuka[emoji23][emoji23][emoji23] So zipo iron man pekee.?
Ngoja nikikumbuka nitakuelezea.Ww taja tu pakuzipata najua ongeza orodha nmekumbuka
Kweli nakwambia na kuhangaika ndio sifa yetu na tuna sifa nyingine ya ziada ya kuwa na pupa.Unahangaika tu na ww