Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao. Wengi wana husika hapa...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
That time nilijiandikisha lakini sikufanikiwa kupata chochote.Mwanzo kabisa zoezi lilipozinduliwa na Jk nikaandaa documents
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseee. Unatakiwa kuwa busy muda huu au leo hali ya hewa hairidhishiWote wanao chat muda huu wamejawa na upweke
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao. Wengi wana husika hapa...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
Subiri kwanza nimekata rufaa kwa wagaga wenzie kuulizia hii dawa ya kweli?Fanya zifike 50....utanikuta ndani
Kama kidukulilo,mkuu maisha hayapo ivyo jikubali tu,usipretend,baki na ulichonacho....lasivyo utaibikaWaganga Mungu ana waona.
Eti ukiona hupati PM anza kuandika JF mara kwa mara stori za gari yangu imefanya hivi,
Mara nilimuazima gari jirani karudisha chafu,
Kisha andika nyumba zangu sipangishi mtu maskini.
Sio kweli hili ni wavivu wa kulala tu.Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao. Wengi wana husika hapa...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
Subiri kwanza nimekata rufaa kwa wagaga wenzie kuulizia hii dawa ya kweli?
Maana naona huyu mganga atanifilisi ati.
Aah madeni si majukumu babu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahhh madeni nigani mkuu
Hii si mahari uko mkuranga unapata mke kabisa [emoji23]Fanya zifike 50....utanikuta ndani
Hela siyo kila kitu mkuu,muheshimu yeyote in you're social structureNilikuwa na dharau moja hatari siku nilipita fundisho nilijua kuwa hela ndio kila kitu inaweza ikafanya naikamaliza shida zote kumbe sio [emoji22]
Nimekusoma fam... leo nipo mzito kinyama, hadi saa hii nimejitahidiAah madeni si majukumu babu.
Lazima mlale moro..Kweli siku hizi zege hailali, nimetoka bukoba nakuja dar, ndio tumetoka Dom tunaisaka moro
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii si mahari uko mkuranga unapata mke kabisa [emoji23]
Utoto ulikuwa mwingi saiz nimekuwa kila mtu na mtreat equal kabisa sibagui.Hela siyo kila kitu mkuu,muheshimu yeyote in you're social structure
True Emeka.. respect muhimu sana hata kwa yule unaeona hastahili, sometimes hata adui yako anaweza kukuokoa kama ulionesha moyo wa imani kwakeHela siyo kila kitu mkuu,muheshimu yeyote in you're social structure
Saa 0100 ishafika babu au umenogewa? [emoji23]Nimekusoma fam... leo nipo mzito kinyama, hadi saa hii nimejitahidi
ππππππ
Humbleness pays...True Emeka.. respect muhimu sana hata kwa yule unaeona hastahili, sometimes hata adui yako anaweza kukuokoa kama ulionesha moyo wa imani kwake