JamiiForums Usiku wa manane

Sio poa mkuu. Msamehe jamaa na umsaidie pengine ataanza kukuheshimu [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo majina ulio waita sasa dah nimecheka sana usiku wote huu.

Wahuni sio watu wazuri.
 
Cha msingi tujue tu kuna watu huwa wanaamka asubuhi na majozi au matatizo nadhani kesho Mr perfect atakuwa miongoni mwao

Wengine wanaamka kwa furaha nadhani wale jamaa wataamka na furaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba we kavu sana ujue! we sio wa kumfanyia jirani yako Mr P hv unamfanya mwenzio anze maisha na upya kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…