Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Kadri siku zinavyosogea ndiyo wote wanaenda kwa pamoja.....kama uwanja wa taifa tu,mechi bado nusu saa watu elf 10 wapo nje na kila mtu anataka kuingiaKila mtu anasubiria wengine wapungue...circle of life
Kila mtu ashinde mechi zake mkuuWengine nawaona bado mpo bar muda huu halafu kesho mna majukumu ya kikazi
👍🏿👍🏿👍🏿Alive[emoji6]
Nitajipanga subiri watu wapungue...maana kila siku watu wanafikisha 18 na wanahitaji vitambulisho.
Duuh pole sana,ID nilipata enzi za JK
Yeah ilikuwa siyo usumbufu sana,nilipata baada ya two weeks
Ulipotelea wapi au ulitekwa na wezi [emoji23]Nilipotea kidogo lindoni hapa
😂😂😂hapana mkuu,ratiba tuUlipotelea wapi au ulitekwa na wezi [emoji23]
Sio huu wa mapopoHuu ndo ule Uzi wa walinzi nasikia
Yeah ilikuwa siyo usumbufu sana,nilipata baada ya two weeks
Ndiyo yangu inaexpire July 10,2025.......miaka 10 kamili......cos nilipata July 2015Huwa zina mwisho wa matumizi?
[emoji23][emoji23][emoji23] nikajua ulipita manzese sokoni pale.[emoji23][emoji23][emoji23]hapana mkuu,ratiba tu
Hapana mkuu,niko salama kabisa msimu wa palizi tu huu[emoji23][emoji23][emoji23] nikajua ulipita manzese sokoni pale.
Ulienda kupata Gahawa nn?Hapana mkuu,niko salama kabisa msimu wa palizi tu huu
Hope renewal inatakuwa rahisi sio waseme wamepoteza file lakoNdiyo yangu inaexpire July 10,2025.......miaka 10 kamili......cos nilipata July 2015
Hapana,kilimo tu cha kufa na kuponaUlienda kupata Gahawa nn?
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio kikoje hiko kilimo?Hapana,kilimo tu cha kufa na kupona