Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,437
- 110,039
Nawe piaNimeweza.
Usiku mwema
Nawe piaNimeweza.
Usiku mwema
GoodnightAsante, naenda kulala sasa
Goodnight👨💻👨💻Asante, naenda kulala sasa
Usikune jicho chakufanya hapo weka maji safi kwenye beseni kisha weka uso wako kwenye hayo maji halafu fungua macho, yaani wakati macho yako, yapo ndani ya maji uwe unatazama maji, halafu baada ya hapo lala bila kujishika jichoNini kinafanya jicho kuwasha sana hadi kutamani kulitoa ili ulikune vizuri
Loo nimeshayasugua sana.. ni ule upande jicho linakoanza.. pale panapotoa tongo tongo ndio kunawasha hatari.. macho yote mawili. Nisha chokonoa sana na vidole muda huu..Usikune jicho chakufanya hapo weka maji safi kwenye beseni kisha weka uso wako kwenye hayo maji halafu fungua macho, yaani wakati macho yako, yapo ndani ya maji uwe unatazama maji, halafu baada ya hapo lala bila kujishika jicho
It's Scars
pole mkuuLoo nimeshayasugua sana.. ni ule upande jicho linakoanza.. pale panapotoa tongo tongo ndio kunawasha hatari.. macho yote mawili. Nisha chokonoa sana na vidole muda huu..
Wakuu kwema
0211
Kwema kabisaKwema, huko Kwema [emoji1615]?
Ahsantepole mkuu
Nataka kufunga lindo leo [emoji22][emoji22][emoji22][emoji56][emoji56]