Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,051
00:06
Hadi alfajiri
Muhenga huu wimbo waujua?Ndio waliimba unaimba..
Dada shao umekubali niliyosema ohh, kumbe ooh unayajua ya mjini. Ulinidanganya ooh wacha tamaa...
Halafu mbele kuna kiitikio wanaimba hivi
Eewee yesu (?) Ndio mimi usiyafuate ndio bwana, Ukiyaona ya mjiji yamjini.. upatacho ndio chako kidogo na faida....
Halafu kuna tumidundo tutamu kweli mbele yake. Niko nausikiliza ila hakuna jina la mwimbaji