JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Uliimbwa na Tabora Jazz Band
Ndio waliimba unaimba..
Dada shao umekubali niliyosema ohh, kumbe ooh unayajua ya mjini. Ulinidanganya ooh wacha tamaa...
Halafu mbele kuna kiitikio wanaimba hivi
Eewee yesu (?) Ndio mimi usiyafuate ndio bwana, Ukiyaona ya mjiji yamjini.. upatacho ndio chako kidogo na faida....

Halafu kuna tumidundo tutamu kweli mbele yake. Niko nausikiliza ila hakuna jina la mwimbaji
 
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa×2

Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unadondoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka×2

Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka×2

Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee×2
 
Ndio waliimba unaimba..
Dada shao umekubali niliyosema ohh, kumbe ooh unayajua ya mjini. Ulinidanganya ooh wacha tamaa...
Halafu mbele kuna kiitikio wanaimba hivi
Eewee yesu (?) Ndio mimi usiyafuate ndio bwana, Ukiyaona ya mjiji yamjini.. upatacho ndio chako kidogo na faida....

Halafu kuna tumidundo tutamu kweli mbele yake. Niko nausikiliza ila hakuna jina la mwimbaji
Huo sijawahi kuusikia!
 
Back
Top Bottom