Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,441
- 110,065
Kaniwazia mema ndio maana nimefurahiMbona umefurahi?
Kaniwazia mema ndio maana nimefurahiMbona umefurahi?
Yawezekana PM una txts nyingi sana ndio maana yangu haijaonekana[emoji3526]Nimekuuliza kwa makusudi..
Si kweli bhana
Unataka uwe kamati ya ulinzi na Aladeen04 mbavu mbili mkuu si balaa hilo[emoji28][emoji28][emoji28]Namimi nataka niwe kamati ya ulinzi mambo yakijipa na Aladeen04
Ni mvivu kusoma PM ngoja niangalieYawezekana PM una txts nyingi sana ndio maana yangu haijaonekana[emoji3526]
Sent using OPPO Mobile Phone
Kumbe nilipitwa [emoji47]Tulishaachana muda sasa hakuwa muaminifu[emoji21]
Ni vyema pumzika mkuu, ikibidi kimachale ukijihadhari na vibaka na wapiga chaboTime to rest, mlale salama wakuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Kwema chief?Lindoni...
Kwema mkuu. Lindo linaendeleaje..Kwema chief?
Naona walinzi wamelega leo, inabidi tu namimi nikache.Kwema mkuu. Lindo linaendeleaje..
Walinzi wamepita juu kwa juu..Naona walinzi wamelega leo, inabidi tu namimi nikache.
Tuliache tu wazi inawezekana kuna wengine ndio wanakaribia kuingia zamu mda si mrefuItabidi lindo lifungwe chaliifrancisco
Salama4:02
Habari za lindoni
God save us