Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,085
Hahahahaah wanasema "Park at your Own Risk"Mkuu sasa mbona tunatishana wakati ndio nimetoka "ku inMpoRT " mali mpya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kamandaHonereni sana wakuu
Simu yangu ina cracks za kutosha kwenye kioo. Mnivumilie kwa uandishi mbovuHonereni[emoji777]
Hongereni [emoji818]Asante kamanda
Ndio muda sasa mkuuHaiwezekani...ulipaswa kuwa mkali.
Mimi nalala sasa.
Ndio muda sasa mkuu
Nampata wapi mimi..
Ahsante ngoja nikuitie mrembo wako Astelia unaitwa hukuKaribuni lindoni
Hahahaha ni vile sina cha kuongea
Hawezi yule kwakoKapanda bei...
How did you know about this.?
Thanks for being my Transistor