Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,579
- 5,792
Hahaaaa machakani hakuna wapiga chabo kaka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ni vyema pumzika mkuu, ikibidi kimachale ukijihadhari na vibaka na wapiga chabo
Sent using OPPO Mobile Phone
Hahaaaa machakani hakuna wapiga chabo kaka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ni vyema pumzika mkuu, ikibidi kimachale ukijihadhari na vibaka na wapiga chabo
Amani kwako piaSasa mimi naliachia lindo kwenye mikono yenu Salama Bin Salimin.. Nasepa na nidhamu ya kazi..
AMAN KWENU[emoji239].
Mbona kama bado nyayo zako zipo hapa?Time to rest, mlale salama wakuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Nimelala na kuamka mkuu.Mbona kama bado nyayo zako zipo hapa?
Aiseee...Nimelala na kuamka mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
kulia sio lazma machozi. wewe hangaika tu 😂😂Machozi hakuna mkuu, nifanye vipi yaje? Lala salama pia[emoji28].
Sent using OPPO Mobile Phone
Sawa.Nipo ....
HujamboSawa.
Naumwa usingiziHujambo
Nini sababuNaumwa usingizi
Nini sababu
Pole sana.. vipi output?Usingizi