Hahahaha noma[emoji23][emoji23][emoji23] ila wamarekani sio watu aah nikikumbuka movie ya Bin Laden shoot to kill aah majamaa ni wanabalaa zito hawa watu natamani nipate hata hiyo movie ya general wa Iran alivyo fagiwa na hawa watu.
USA wana kambi 21 zimezunguka Iran kikinuka sijui atajishika wapi Iran maana atakuwa anakula kipigo kila sehemu.Hahahaha noma
IRAN naoma kama anaharibu bajeti, yani katumia gharama kununua silaha halafu anapiga off target?
It's Scars
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi USA ni John madhambi.IRAN wajipange wasizongwe na sifa, uwezekano wa kupona upo kama general atakua mia khalifa....View attachment 1318977
It's Scars
Ila wameendelea wana hadi tuzo sikuhizi na celebrities wanaudhuria vzr tu.IRAN wajipange wasizongwe na sifa, uwezekano wa kupona upo kama general atakua mia khalifa....View attachment 1318977
It's Scars
Trump mpuuzi sana yaan mtu tegemezi ndio kamuua hakutaka kuangaika sana alafu Iran naye kajaa kulipa kisasa wakati ilehali ya kushindana kupambana na Trupm uwezo hana.Inawabidi tu IRAN wawe watulivu, kwasababu wakiendelea tutaenda kuzoa majivuView attachment 1318979
It's Scars
Trump mpuuzi sana yaan mtu tegemezi ndio kamuua hakutaka kuangaika sana alafu Iran naye kajaa kulipa kisasa wakati ilehali ya kushindana kupambana na Trupm uwezo hana.
Watu waeingia kama walivyomfanyia osama dah wanakuja kushtuka Afghanistan kuwa wamarekani walikuwepo ndio wenzao wanaondoka hivyo marekani [emoji119] jamaa ni special sana kwenye kufanya matukio makubwa.Iran hamna kitu pale wale wanacheza na majukwaa, kashambuliwa kiongozi wa majeshi halafu bado wameduwaa/
It's Scars
Kimbiza mwizi huyo.02:03
Amepita hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti wasema?!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Tupo timamu kabisa tunatimiza majukumu yetu0232
Mnalala sana walinzi
Uko pekeako tu mkuu wengine wamepiga mbonjiTupo timamu kabisa tunatimiza majukumu yetu
tunapokezana, tukipiga mbonji wote tutaharibu kaziUko pekeako tu mkuu wengine wamepiga mbonji