Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Usingizi ww unaongelea usingizi kama mm
Usingizi ww unaongelea usingizi kama mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww haujavaa night dress?! Maana mm nipo tizi saa hizikwa taarifa fupi [emoji32][emoji32]..
Kuna baadhi yetu tupo na shuka tu hata pillow hatuna. Msitukumbushe how lonely we are plzz [emoji16]
Nakusubiri,niliambiwa mvumilivu hula mbivuTunaondoka waubani 0150 nasepa
Nitakununulia jameson
Nilikwambia hii ni bahat ya mnazi kuotea pwaniKwahiyo nakuweza mimi peke yangu sio ? Bahati iliyoje hii.
Kitandani ndo wapi maana mm mgeni maeneo hayo
Mm mtaalamu
Hauna hata embasy ya canada ushushieShada a.k.a ganja... Mama Farajii nimempigia naona hapokei kashalala
Acha kabisa,na sisi waungwana huwa hatifanyi ajizi kabisa si unakumbuka ulivyo enjoy ile siku,na huu ni muendelezo,tuondoke nikakupe haki yaki peke yako.Nilikwambia hii ni bahat ya mnazi kuotea pwani
Anapotaka kwenda[emoji23]
na mm nitaondoka zangu na Aurora 50-50.Tunaondoka waubani 0150 nasepa
Sigara saratani siingilii madukani. Natumia mkubwa wao tuHauna hata embasy ya canada ushushie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]helmentNa helmet sio au Mzula,nakuona hapa.
Usingizi ww unaongelea usingizi kama mm
Upo sawa kabisaNakusubiri,niliambiwa mvumilivu hula mbivu
Deni la jero hulisahau?![emoji23][emoji23][emoji23] nilipe kwanza lile deni langu then ndio unifanyie hayo mengine.
Mambo shatashata tuondokeAcha kabisa,na sisi waungwana huwa hatifanyi ajizi kabisa si unakumbuka ulivyo enjoy ile siku,na huu ni muendelezo,tuondoke nikakupe haki yaki peke yako.
Nipo ....