Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
OkyPoa,waage wadau.
Cha kushukuru anaendelea poa, which means dokta alifanya kazi yake ipasavyo.
Afya kwanza.
Kudadeki unanizidishia arosto, hapa nasubiri sa 9 nitoke maana mda huo pusher atakua macho.Basi nakuimbia aristoo ,arostooooooookook hauna hata star ujikatie ukali naskiaga inatumika huko ww ni mbabaishaji[emoji23][emoji23][emoji23]kanywe maji ulale
atakuwa msukule akileta [emoji23][emoji23]Ataileta kaka mzuri@Zurri
Hii huku kwetu tunaiita "haikatai kwa wajuba"
nakuacha kwa keri maana tuliokunuwa uji wa mgonjwa tupo wengi kumbe[emoji23]
Usilale, enyewe nimeahirisha kisa nimekuona wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]Hii huku kwetu tunaiita "haikatai kwa wajuba"
Huko daslam nasikia wanasema sijui baharia wa buza
Hii huku kwetu tunaiita "haikatai kwa wajuba"
Huko daslam nasikia wanasema sijui baharia wa buza
Mahaba yetu yasikutese muache mahboob kabisaatakuwa msukule akileta [emoji23][emoji23]
Haikatai babaako
nakuacha kwa keri maana tuliokunuwa uji wa mgonjwa tupo wengi kumbe[emoji23]
Hapa ndio bahari ya buza?