JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Achana nao, usifanyie watu kazi, fanya za kwako
[emoji2960]unajua tunatofautina sehemu
Kabla haujafanya chako
Kuna watu lazima afanye cha mtu akusanye kiasi akiona kina mtosha kusimama yeye na kunyanyua ambacho kilisimama mwanzo halafu kikaanguka

Ndo ataacha ...si unajua mkono mtupu haulambwi?!
 
Back
Top Bottom