Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,068
11:462334
11:462334
Ukirudi niletee ivory za mia3 ili kusindikiza lindo languNapita[emoji126]
Hello mama D uko powa?0000
Mi ndio naweka coffee with vanilla taste lindo liende vizuri.Rasmi lindoni
Vikombe viwili tafadhaliMi ndio naweka coffee with vanilla taste lindo liende vizuri.
Hakika umepata ila viwili mwili utachangamka sana na hili joto hahahaVikombe viwili tafadhali
Hofu yangu ni kwamba ukishapata viwili unaweza ukaacha Lindo weye🤗🤗Vikombe viwili tafadhali
Lindo haliachwi.. ulinzi unaimarikaHofu yangu ni kwamba ukishapata viwili unaweza ukaacha Lindo weye🤗🤗
Ahsante mkuu.kama nawe ni FuturistKaribu Frankenstein mzee wa AI😊
Nakuaminia dada la madada yao. Adui akose kwa kupenyaLindo haliachwi.. ulinzi unaimarika
Ulinzi makiniNakuaminia dada la madada yao. Adui akose kwa kupenya
Habari za huko mkuuNipo hapa mashariki ya kati naangaza kinachojiri