JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wakati wa msombi utakapo badilisha lugha automatic bila kujijua hapo roho mtakatifu kashuka pale unasikia unanena kwa lugha huku ukitetemeka nguvu zikiongezeka
Ila roho mtakatifu akikushukia si inatakiwa uongee lugha utakayoeleweka mbele za watu ili kuwapa habari njema.
Refer tukio la Pentecoste
 
Back
Top Bottom