Ngoja kwanza tufanye kazi,tukiona wamesinzia tuna yeya zetu.Hata sasa naweza kukupikia
Hapa ni kazi na bata
Ngoja kwanza tufanye kazi,tukiona wamesinzia tuna yeya zetu.Hata sasa naweza kukupikia
Hapa ni kazi na bata
Banana n pig nmekumiss
Tuliendelea kuwa walinzi bora ila kukukosa ilitunyima furaha Goddess welcome backChikwuemeka , Super Villain , Rowin, COSMOLOGIST, Aurora ,mama D,simiss ,Frankenstein , Iceberg9, Bradha
Niliemsahau atanisamehe
Niliwamiss sana
Nilisikia ulikuwa Vienna ww ukila Christmas na mwaka mpya? vp hakuna hata zawadi ya kutoka huko..Chikwuemeka , Super Villain , Rowin, COSMOLOGIST, Aurora ,mama D,simiss ,Frankenstein , Iceberg9, Bradha
Niliemsahau atanisamehe
Niliwamiss sana na Heri ya mwaka mpya
Happy new year to u too beautifull
Usinitaftie ban tena[emoji38][emoji38][emoji38]Nilisikia ulikuwa Vienna ww ukila Christmas na mwaka mpya? vp hakuna hata zawadi ya kutoka huko..
""E="Super Villain, post: 33995679, member: 531418"]
Nipo
Usinitaftie ban tena[emoji38][emoji38][emoji38]
mchoyo huyo achana naye.[/QUOTE]Umeanza bwana eti na hutapata nakwambia utakula kwa macho"
leo godess karudi [emoji4][emoji4][emoji4]. Lindo limekaaje kwa upande wako
ww sio wakunitumia zile picha ukila raha vile kutaka kuniumiza roho mm [emoji17]Usinitaftie ban tena[emoji38][emoji38][emoji38]
Wee na nani"E="Goddess, post: 33995709, member: 194652"]
miss ya more.. ulikuwa unasakwa humu
Chikwuemeka , Super Villain , Rowin, COSMOLOGIST, Aurora ,mama D,simiss ,Frankenstein , Iceberg9, Bradha
Niliemsahau atanisamehe
Niliwamiss sana na Heri ya mwaka mpya
Subiri na mm nikianza kuonge uongo uwe ukweli ss sibahatishi[emoji38] ntakupitisha malamba ma2 nikakuueww sio wakunitumia zile picha ukila raha vile kutaka kuniumiza roho mm [emoji17]