mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,456
- 36,471
Sasa si ndio hahahaaaahahahahaa, kwamba asiyekuwepo na lake halipo sio?😀
Sasa si ndio hahahaaaahahahahaa, kwamba asiyekuwepo na lake halipo sio?😀
Haya bana, ya mwaka huu sitokosa.Sasa si ndio hahahaaaa
Kama vile tumebaki wawili tuu au macho yanguHaya bana, ya mwaka huu sitokosa.
Itakua, jana watu walikesha sana kuupokea mwaka.Kama vile tumebaki wawili tuu au macho yangu
Unaenda wapi huko?0314
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Nakagua lindoUnaenda wapi huko?
Safi kamanda, pako salama?Nakagua lindo
Usalama upo mkuu ila walinzi wamelala fofofo hahaaSafi kamanda, pako salama?
hahahahahah, acha wapumzike.Usalama upo mkuu ila walinzi wamelala fofofo hahaa
Upo?04:00
Nipo mlinzi mtiifu
NipoUpo?
Walinzi tupo na lindo liko salama salminiUsalama upo mkuu ila walinzi wamelala fofofo hahaa