Hahahaa sijakimbiaTatizo unanikimbia sana.
Hahahaa sijakimbia
Usiyempenda yupo😀😀😀Wewe bado upo?
Hahahaa sijakimbia
Nikimbize utanipata hahahaaNajua huwezi kukubali hilo ila ukweli ndio huo,unanikimbia sana sasa sijui unaogopa nini mrembo ?
Tatizo una mbio sana.Nikimbize utanipata hahahaa
HahahaaaTatizo una mbio sana.
Ila nitakukamata tu.Hahahaaa
Hahahaaa
Dada yangu yupo wapi leo?Walinzi pumzi kama zinataka kukata hivi. Naombeni mniruhusu nikavimbe.
Niko naye naondoka naye.Dada yangu yupo wapi leo?
Haya bro, nawatakia usiku mwema.Niko naye naondoka naye.
Mbio zimekushinda......poleeeWalinzi pumzi kama zinataka kukata hivi. Naombeni mniruhusu nikavimbe.
Boxing day ulikua wapi heheheeeShukrani.
Zawadi zangu za Christmas hazijafika halafu🙂
hahahahaa, kwamba asiyekuwepo na lake halipo sio?😀Boxing day ulikua wapi heheheee