JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimrudishie bwana nini, kwa ukarimu wake woooote..
Aliyonitendea bwana mimi, Nimrudishie bwana niini?? Nitakipokea kikombe cha wokuvu na kulitangaza jina lake. Nimrudishie Bwana niini??

Huu wimbo umeniliza ndani ya kanisa, nalia kwa uchungu na furaha Daah wakati tunaimba kwa pamoja nimesikia miguu inakufa ganzi na midomo inashindwa tamka maneno. Mimi ni nani hadi Mungu kanipendelea kiasi hiki? Nitamlipa nini?
Mungu wetu ni mkuu.
Happy new year
 
Back
Top Bottom