Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Najua, mimi nimevutiwa na wewe kupitia avatar.
Kwa hiyo jua tu nimevutiwa na wewe.
Najua, mimi nimevutiwa na wewe kupitia avatar.
Kwa hiyo jua tu nimevutiwa na wewe.
Hakika leo wenye bar wamepiga pesa masaa haya machache tu [emoji119]
Kwann mzee?Yaani lindo leo si mchezo.
Kwann mzee?
Majukumu mzee ndio yanafanya watu wapishane wasionane..Very enjoyable...!
Ingawa kuna watu sijawaona humu kwa kipindi kirefu.
Majukumu mzee ndio yanafanya watu wapishane wasionane..
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli ujui.
Kesho kutwa unalalamika kuwa anakuamsha na kelele [emoji23][emoji23] we jirani ni mtata sana.