Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ingia hata roma kesho [emoji41]
Ingia hata roma kesho [emoji41]
Nawe pia.Hapyy new year...
Jamani ndio nini kuleta nyuzi za huzuni wakati wa furaha![]()
Kama Nikifa leo hii 31/12/2013
Kwa Wana JF wote CC: Invisible Paw na wengineo Kama nitakufa leo, nisiuone mwaka Mpwa 2014, kama nitaanguka leo hii macho yangu yakafumba nisiione tena kesho, kama nitakufa leo hii, yaani nisiione tena JF, nisiwaone na kuchati na MMU members, Chitchat Heroes yaani kama nitakufa leo hii...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe pia.Happy New year
Nafikiria kuhusu Ada, weee furahi tu
Ingia hata roma kesho [emoji41]
[emoji3][emoji3][emoji3] eeh hii sijaisikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio uno la wima wima linalotokea congo.
Tufurahi wote jamani utaanza kufikiria ada keshoNafikiria kuhusu Ada, weee furahi tu
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Remix hiyo.
Ndio unajifunza sasa.
Ndio unajifunza sasa.
Lete pombeeeeee
Elli kwema?![]()
Kama Nikifa leo hii 31/12/2013
Kwa Wana JF wote CC: Invisible Paw na wengineo Kama nitakufa leo, nisiuone mwaka Mpwa 2014, kama nitaanguka leo hii macho yangu yakafumba nisiione tena kesho, kama nitakufa leo hii, yaani nisiione tena JF, nisiwaone na kuchati na MMU members, Chitchat Heroes yaani kama nitakufa leo hii...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi hatufumbi macho bhana.Nilienda kwny harusi moja wapo wanafunga macho sielewi hata kuitikia sielewi .
Sent using Jamii Forums mobile app