Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kutoka ukonga mpaka Kimara tu hapo gari ni nyingi njiani ndio maana nimechukua muda.
Kutoka ukonga mpaka Kimara tu hapo gari ni nyingi njiani ndio maana nimechukua muda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawe pia gal.
Kutoka ukonga mpaka Kimara tu hapo gari ni nyingi njiani ndio maana nimechukua muda.
[emoji4][emoji4] kwenu kimara? Nimekuta watu wapo church nimeruka ukuta nikajifungulia get nikaingia kesho church nitaenda pekeyangu [emoji17]
Nawe pia mkuu.Amani nyotd.. 2020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aisee Joline, umuonee huruma Dolly Parton basi😀Umofia sanaa
[emoji4][emoji4] kwenu kimara? Nimekuta watu wapo church nimeruka ukuta nikajifungulia get nikaingia kesho church nitaenda pekeyangu [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio uno la wima wima linalotokea congo.[emoji444][emoji444] uno lile gwajima, alimmwagia kondoo[emoji444]
Sent using Jamii Forums mobile app
ww leo najua umekimbia ibada mwaka mpya wako umeingia toka saa 11 jioni