Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Pole sana hommie.Christmas mbaya zaidi toka niijue dunia ni hii.. maana nimeshikwa na ugonjwa unaonitesa zaidi pindi nikiupata..
Hapa niko njiani nimetoka kanisani lakini hata misa sijaifurahia maana muda mwingi nilikua nje tu naugulia maumivu.

